Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Babu Tale Aelezea kuhusu Kukamika kwa kolabo ya Madee na Tekno wa Nigeria




Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale amesema msanii wake Madee tayari ana ngoma 6 mpya ambazo hazitatoka, ambapo moja kati ya hizo ni kolabo yake na Tekno.


Akizungumza katika kipindi cha The Playlist cha Times FM, Babu Tale amesema anasubiria wakati ufike aanze kuachia kazi hizo ambazo amedai ni kali.
“Nina nyimbo sita mpya za Madee zinanichanganya,” alisema Tale. “Kuna wimbo kafanya na Tekno, kuna ngoma tatu ameshafanya na video. Kuna ngoma tunafanya video Jumatatu, nachanganyikiwa sijui nifanyeje kwa sababu nina ngoma kali za Madee”,
Aliongeza, “Wakati Madee anarudi kila mmoja ataongea kama nambeba, lakini Madee kila mtu anajua ana mwaka mmoja hajaachia ngoma”,
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Raha Taste | Distributed By Blogspot Templates
Back To Top